Deuteronomy 6:5-6

5 aMpende Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote. 6 bAmri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako.
Copyright information for SwhKC